Sarakasi TOC Bado Zamoto, Thadeo Avunja Ukimya, Mtaka Asubiri Ripoti

WAKATI Leonard Thadeo akivunja ukimya baada ya kutangazwa kuwa rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Anthony Mtaka amesema anasubiri ripoti ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC). IOC ilimtuma mwakilishi, Dk Donald Rukare kufuatilia uchaguzi huo uliofanyika Julai 5, 2026 jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, hali ya sintofahamu iliibuka kufuatia wapiga kura kugomea […]

The post Sarakasi TOC Bado Zamoto, Thadeo Avunja Ukimya, Mtaka Asubiri Ripoti appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/5bQZmI6
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post