MABIGWA wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu wa 2025-2026, KVZ, imeanza mazoezi rasmi ya kujinoa kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup 2026). Michuano hiyo imepangwa kuchezwa nchini Rwanda kuanzia Julai 24 hadi Agosti 8, 2026 huku michezo ikipigwa kwenye viwanja vya Amahoro na Kigali Pele. Akitoa taarifa […]
The post KVZ Yajinoa Kagame Cup 2026 appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/INGOjaE
via IFTTT
Post a Comment