BAADA ya kubeba ubingwa wa Iber Cup nchini Ureno, Kocha wa TDS Akademi, Adam Mubesh amesema ushindani walioupata kwenye mashindano hayo umewapa wachezaji nafasi ya kujifunza mitindo mbalimbali ya kiuchezaji. Timu hiyo ilikuwa Ureno ikishishiriki mashindano ya Iber Cup kwa vijana U-14 chini ya kocha Mubesh ambaye aliwahi kuhudumu kwenye kikosi cha KMC kilichoshika daraja […]
The post Mubesh Ataja Siri Ya Ubingwa Ureno appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/FERings
via IFTTT
Post a Comment