MWEKEZAJI wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji), ameahidi kuendelea kuimarisha kikosi cha timu hiyo kulingana na mahitaji ya benchi la ufundi, akisisitiza lengo lao ni kuijenga Simba kuwa tishio zaidi katika msimu ujao wa mashindano. Mo Dewji amesema dhamira kubwa ya uongozi ni kuhakikisha Simba inafanya vizuri katika mashindano ya ndani na hatimaye kutimiza […]
The post Mo Dewji Afungua Mfuko, Aahidi Simba Kali Kuliko Msimu Ujao appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/zh8PMyn
via IFTTT
Post a Comment