KLABU ya Raja Club Athletic ya Morocco imerejea tena kwa kasi kwenye vita ya kuwania saini ya kiungo mahiri wa Simba SC, Alassane Kanté, huku ikiripotiwa kuandaa ofa mnono kuwasilisha Msimbazi. Hii si mara ya kwanza kwa Miamba hiyo ya Casablanca kuonyesha nia ya kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Guinea. Katika dirisha dogo lililopita, […]
The post Raja Casablanca Yarejea Kumsajili Alassane Kanté wa Simba SC appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/biEAf3v
via IFTTT
Post a Comment