Vita ya Kileleni Kundi A! Morocco na Algeria Kukipiga, Kenya na Senegal Kusaka Pointi za Kwanza

Baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa hatua ya makundi katika Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON), leo macho na masikio ya wapenda soka yatakuwa kwenye mechi za pili za Kundi A zinazotazamiwa kuwa na ushindani wa hali ya juu. 1. Senegal vs Kenya (Saa 12:00 Jioni – Rabat Olympic […]

The post Vita ya Kileleni Kundi A! Morocco na Algeria Kukipiga, Kenya na Senegal Kusaka Pointi za Kwanza appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/RKpehG2
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post