LIVE: ITAZAME MECHI YA SIMBA vs SINGIDA BS LIVE HAPA


 Kikosi cha Simba leo kitashuka dimbani huko Rwanda kumenyana na Singida BS katika mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ya michuano ya CECAFA Kagame Cup.

Mchezo huo wa kuamua hatma ya kutinga nusu fainali kwa timu zote utapigwa saa 2 usiku sambamba na mchezo mwingine wa kundi hilo kati ya Jamus Sc dhidi ya Mogadishu City.

Kimahesabu Simba bado ina nafasi ya kutinga nusu fainali kama itashinda dhidi ya Singida BS ingawa pia itategemea na matokeo ya mchezo kati ya Jamus dhidi ya Mogadishu City.

Kama Simba itashinda na Jamus ikapoteza basi Mnyama atafuzu moja kwa moja nusu fainali. Ikitokea pia Simba imeshinda na Jamus ikatoka sare, timu itakayokuwa na uwiano mzuri wa mabao itasonga mbele.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post