Elie Mpanzu Atinga Rwanda: Simba Yapata Nguvu Mpya CECAFA Kagame Cup! KIKOSI cha Simba SC kimepata ingizo jipya na la nguvu baada ya kiungo wao mahiri, Elie Mpanzu, kuwasili rasmi nchini Rwanda na kujiunga na wenzake wanaoshiriki michuano ya Kombe la CECAFA Kagame, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabambe ya msimu wa 2026/27. Mpanzu hakuwa […]
The post Elie Mpanzu Atinga Rwanda: Simba Yapata Nguvu Mpya CECAFA Kagame Cup! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/7AV9knf
via IFTTT
Post a Comment