LIVE: ITAZAME MECHI YA JAMUS vs SIMBA SC LIVE HAPA 👇🏻👇🏻


Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker leo atawaongoza Wekundu wa Msimbazi kwenye mchezo wa pili wa kombe la Kagame kundi B dhidi ya Jamus Fc.

Baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Mogadishu City, Simba leo inahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu nusu fainali.

Akizungumza kwenye mkutano na wanahabari jana, Barker aliweka wazi kuwa leo anahitaji vijana wake washinde mchezo huo hivyo ni wazi atashusha kikosi cha kwanza.

Simba ilikamilisha mazoezi ya mwisho jana huku wachezaji wote wakishiriki mazoezi hayo akiwemo winga Libasse Gueye ambaye alitua Rwanda juzi baada ya kumalizana na masuala ya kifamilia.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, kagame cup , mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post