Programu Ngeni Yanga SC: Kocha Mngqithi Aweka Saa 8 Za Kazi Kila Siku

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, ameanza majukumu yake kwa Kasi na Nguvu Mpya baada ya kuanzisha programu kabambe ya mazoezi inayowataka wachezaji kutumia hadi saa nane (dakika 480) kambini kila siku. Hatua hii ni sehemu ya maandalizi ya kina kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2026/27 pamoja na mashindano ya kimataifa. […]

The post Programu Ngeni Yanga SC: Kocha Mngqithi Aweka Saa 8 Za Kazi Kila Siku appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/u7LmCh1
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post