MSHAMBULIAJI nyota na kinara wa mabao raia wa Namibia, Peter Shalulile, anatajwa kukamilisha dili la kishindo la kujiunga na Yanga SC baada ya kuachana na miamba ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns. Usajili huu unatajwa kuwa miongoni mwa hatua kubwa zaidi kwenye dirisha la usajili kuelekea maandalizi ya msimu mpya wa mashindano wa 2026/27. Undani wa […]
The post Shalulile Kutua Yanga Kwa Mkataba wa Kustaajabisha! appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/MsUp4yJ
via IFTTT
Post a Comment