YANGA YAONGEZA MAKALI MBELE, HERSI AKAMILISHA DILI LA KUTIAMA

RAIS wa Yanga, Hersi Said, ameonekana kukamilisha moja ya kazi kubwa za usajili kuelekea msimu ujao baada ya kufanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Police FC ya Kenya, Yves Kutiama, kwa mkataba wa miaka miwili. Taarifa za ndani zinaeleza kuwa dili hilo lilifanikishwa mwishoni mwa wiki baada ya Hersi kuwepo nchini Kenya, ambako alishuhudia fainali […]

The post YANGA YAONGEZA MAKALI MBELE, HERSI AKAMILISHA DILI LA KUTIAMA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/36BhwsR
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post