LIVE: ITAZAME MECHI YA SIMBA VS PAMBA JIJI LIVE HAPA

 


Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo mzunguuko wa 26 ambapo Simba itakuwa dimba la KMC Complex kuikaribisha Pamba Jiji.

Ni mechi muhimu sana kwa Wekundu wa Msimbazi kushinda ili kuweka hai matumaini katika mbio za ubingwa.

Ili Simba isalie katika mbio za ubingwa hakuna nafasi ya matokeo mengine zaidi ya ushindi hasa baada ya watani zao Yanga kupata ushindi dhidi ya Mashujaa Fc jana na kuongeza gap la pointi kufikia tano.

Mkufunzi wa Simba Steve Barker ameweka wazi kuwa hautakuwa mchezo mwepesi lakini upande wao wanakwenda kupambana ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi.

Pamba Jiji ni miongoni mwa timu zilizoivurugia hesabu Simba kwenye duru ya kwanza walilazimisha matokeo ya sare y bao 1-1 mchezo ulioopigwa uwanja wa CCM Kirumba.

Hata hivyo wakati huu Simba ina mahitaji makubwa ya alama tatu na pengine Pamba Jiji watahitaji kufanya kazi ya ziada kuwezo kuondoka na chochote dhidi ya vijana hao wa Barker ambao wako 'on-fire'

Mtanange huo unatarajiwa kupigwa saa 10 jioni..

Usikose kuitazama live kupitia simu yako kupitia app yetu

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post