HARAKATI za Simba SC kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao zimezidi kushika kasi, huku taarifa zikieleza kuwa mabosi wa klabu hiyo wameanza mazungumzo ya kumsajili beki wa kati wa TP Mazembe ya DR Congo, Madou Zon, anayeng’ara kwa kiwango bora msimu huu. Madou amekuwa mmoja wa mabeki waliovutia zaidi katika Ligi Kuu ya […]
The post BEKI BORA DR CONGOATUA KWENYE MEZA YA SIMBA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/EgqJTCf
via IFTTT
Post a Comment