BAADA ya kupisha Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa la FIFA kwa wiki mbili, Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi tatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, huku hatma ya KMC FC kushuka daraja ikiwa mikononi kwa TRA United. Katika mechi hizo tatu zitakazopigwa leo, Fountain Gate itaikaribisha Azam FC kwenye Uwanja wa Sheikh […]
The post TRA YASHIKILIA HATMA KMC LIGI KUU appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/yeSMQ0C
via IFTTT
Post a Comment