LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA VS MASHUJAA LIVE HAPA LEO

 


 Baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA ligi kuu imerejea, mechi za raundi ya 26 zikianza kupigwa hapo jana.

Leo mabingwa watetezi Yanga wako mkoani Kigoma kuumana na Mashujaa Fc katika mechi itakayopigwa saa 10 jioni.

Hakuna nafasi ya kufanya makosa kwa Wananchi, ndivyo unavyoweza kusema katika kipndi hiki cha lala salama.

Katika mechi zilizobaki, Yanga inahitaji ushindi kwenye kila mechi ili kutetea ubingwa kwa msimu wa tano mfululizo.

Ni wazi hautakuwa mchezo mwepesi hasa kwa kuzingatia tambo alizotoa kocha wa Mashujaa Fc Jamhuri Kiwhelo kuelekea mchezo huo.

Lakini itakuwa nafasi kwa wachezaji wa Yanga kumjibu Julio kwa vitendo uwanjani na kuchukua alama zote tatu.

Yanga ilitua Kigoma juzi ikiwa na kikosi chake kamili. Leo watakuwa na kazi moja tu, kuchukua alama tatu mbele ya Mashujaa Fc.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post