Nyota wa Hispania, Lamine Yamal amesema kwamba sio sahihi yeye kulinganishwa na Kylian Mbappe na Erling Haaland kwa vile wao wamemzidi umri. Kauli hiyo ya Yamal imekuja kufuatia presha ambayo imeanza kuelekezwa kwake baada ya Mbappe na Haaland kuwa na mwanzo mzuri kwenye Fainali za Kombe la Dunia kulinganisha na yeye. Ufaransa ilianza kwa ushindi […]
The post YAMAL AKATAA KULINGANISHWA NA HAALAND, MBAPPE appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/mQTxL1Z
via IFTTT
Post a Comment