Kikosi cha Simba leo Jumamosi, majira ya saa 9:30 Alasiri kitashuka uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha kuikabili Coastal Union katika mchezo w anusu fainali ya kombe la CRDB.
Vijana wa kocha Steve Barker watashuka dimbani kuwania tiketi ya kufuzu fainali katika mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali.
Kwa Simba huu ni mchezo ambao ushindi ndio matokeo pekee ambayo mashabiki wanatarajia wakiamini kwenye ubora wa kikosi chao.
Baada ya kushindwa kutinga fainali katika misimu minne mfululizo, wakati huu Simba ina kila sababu ya kutinga hatua hiyo na kwenda kutwaa ubingwa kabisa.
Usikose kuitazama live kupitia simu yako kupitia app yetu
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment