MATOKEO ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba, yameonekana kuwavuruga Mbeya City katika hesabu za kukwepa kushuka daraja, huku kocha mkuu wa timu hiyo Salum Mayanga, akitaja kitakachowabeba. Mbeya City ikiwa nyumbani jana ilikutana na kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Simba na kuwaacha nafasi yao ya 14 kwa pointi 25, ambapo kwa sasa wamebakiza michezo […]
The post MAYANGA ATAJA MIKAKATI MIPYA MBEYA CITY appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/jTPbXvp
via IFTTT
Post a Comment