KLABU ya Al Ahly Benghazi ya Libya imeanza mazungumzo ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube, ambaye kwa sasa ni miongoni mwa wachezaji wanaovutia zaidi katika soko la usajili kutokana na kiwango chake bora uwanjani. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinaeleza kuwa Al Ahly Benghazi imemtaja Dube kuwa lengo lao kuu la usajili katika dirisha […]
The post OFA NONO YAMVUTIA DUBE, YANGA KATIKA WAKATI MGUMU appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/P8XZDpB
via IFTTT
Post a Comment