Vancouver, Canada: MISRI imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kutinga hatua ya 32 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa New Zealand mabao 3-1 na kukaa kileleni mwa Kundi G. Matokeo hayo yameifanya Misri kufikisha pointi nne baada ya mechi mbili, kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa kwanza. Wakati huo huo […]
The post USHINDI WA KWANZA KOMBE LA DUNIA, MAFARAO WAFUFUKA VANCOUVER appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/LglF5CK
via IFTTT
Post a Comment