KIUNGO Bakari Msimu ameamua kujiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kushawishiwa na ofa nono inayodaiwa kufikia Sh milioni 120 pamoja na mshahara mkubwa, hatua inayofungua ukurasa mpya katika maisha yake ya soka. Msimu amefikia uamuzi huo baada ya kukataa kuongeza mkataba wake na Coastal Union FC, licha ya juhudi za […]
The post SIMBA YAMLIPA SH.120M MSIMU, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/WcVd2IG
via IFTTT
Post a Comment