KUNA ukame uliowapitia washambuliaji wawili wa Yanga, Prince Dube na Laurindo Aurelio ‘Depu’ sasa jamaa wametupia huko timu za taifa na kumfanya kocha wao Abdihamid Moalin amechekelea akisema ni hatua nzuri. Dube alifungia Zimbabwe kwenye mechi mbili za kalenda ya FIFA dhidi ya India, mchezo uliopigwa Mei 30. Dube mwenye mabao tisa hajaifungia Yanga kwenye […]
The post MOALLIN ACHEKELEA MABAO YA DUBE,DEPU appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/qykowxe
via IFTTT
Post a Comment