BACCA NA MWAMNYETO WAPEWA DHAMANA YA KULINDA POINTI TATU

KAZI kubwa ipo kwa safu ya ulinzi ya Yanga kuhakikisha inakuwa imara na makini katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa FC utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Mabeki wa Yanga wanatarajiwa kuwa na jukumu la kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao na kuhakikisha Mashujaa FC hawapati nafasi za kufika katika […]

The post BACCA NA MWAMNYETO WAPEWA DHAMANA YA KULINDA POINTI TATU appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/5kefjUQ
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post