MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Crescetus Magori, amesema klabu hiyo imejipanga kikamilifu kuhakikisha inafuzu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, huku akisisitiza kuwa hilo ni moja ya malengo makubwa yaliyowekwa na uongozi wa timu hiyo msimu huu. Magori amesema Simba inaelewa umuhimu wa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Coastal Union na […]
The post SIMBA YAJIPANGA KUVUNJA NDOTO ZA COASTAL UNION appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/LgEMcHX
via IFTTT
Post a Comment