LIVE: ITAZAME MECHI YA YANGA vs FOUNTAIN GATE LIVE HAPA BUREEE


 Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mechi tatu za kukamilisha raundi ya 27 zinatarajiwa kupigwa.

Mabingwa watetezi, Yanga wako mkoani Arusha ambapo majira ya saa 10 jioni watashuka uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili Fountain Gate katika mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali.

Ni mchezo mwingine muhimu kwa Wananchi kuzisaka alama tatu kwa jasho na damu ili kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi.

Ni aina ya mechi ambazo Wananchi wanahitaji kuwa kwenye ubora wao ili kuvuna alama tatu.
Katika mechi hizi za lala salama, hakuna nafasi ya kufanya makosa, kudondosha alama kutatoa faida kwa wapinzani wao Simba kwenye mbio za ubingwa.

Katika mechi hizi za lala salama, hakuna nafasi ya kufanya makosa, kudondosha alama kutatoa faida kwa wapinzani wao Simba kwenye mbio za ubingwa.

Yanga ilitua mkoani Arusha juzi ambapo mabingwa hao watetezi walikuwa na siku mbili za kukamilisha maandalizi yao jana wakihitimisha pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Ari na morali ya wachezaji wa Yanga iko juu, kila mmoja akifahamu wanahitaji kushinda mchezo huo.

Usikose kuitazama live kupitia simu yako kupitia app yetu

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post