DR Congo imeukataa unyonge kwa kulazimisha sare 1-1 na Ureno yenye mastaa wakubwa duniani akiwemo Cristiano Ronaldo. Dakika sita tu zilitosha kwa Ureno kutangulia kupata bao likifungwa kwa kichwa na Joao Neves akimalizia krosi safi ya Pedro Neto kutoka pembeni kushoto. Ureno hata kabla na baada ya bao hilo ilitawala vizuri mchezo huo ikijenga mashambulizi […]
The post DR CONGO YAIKAZIA URENO, RONALDO AKIFICHWA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/FOim8Zn
via IFTTT
Post a Comment