UONGOZI wa Yanga unaendelea na mipango ya kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao, huku taarifa zikieleza kuwa klabu hiyo ipo katika mazungumzo ya kumsajili beki wa kushoto wa Mouna FC ya Ivory Coast, Samba Koné. Koné ni mmoja wa wachezaji wanaotajwa kuwa kwenye orodha ya usajili ya Yanga, ambayo inalenga kuongeza ushindani na ubora katika […]
The post BEKI WA ASSIST NNE MSIMU HUU ATUA KWENYE RADA ZA YANGA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/WoMdBLg
via IFTTT
Post a Comment