Ligi Kuu ya NBC inaendelea raundi ya 27 ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba wako mkoani Mbeya kuikabili Mbeya City. Ni mchezo wa mapema leo unaotarajiwa kupigwa saa 8 mchana.
Simba ilitua Mbeya juzi ikiwa na dhamira moja tu, kushinda mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa.
Alama tatu dhidi ya Mbeya City leo zitaishuhudia Simba ikipanda kileleni mwa msimamo wa ligi kwani itafikisha alama 64 na kuwapiku watani zao Yanga ambao watakuwa ugenini mkoani Arusha kuikabili Fountain Gate hapo kesho.
Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker ameweka wazi kuwa malengo yao ni ushindi licha ya kutambua ugumu wa mchezo huo unaopigwa mapema.
Vijana wa Barker walikamilisha maandalizi yao jana saa 8 muda ambao mchezo huo utapigwa hii leo.
Usikose kuitazama live kupitia simu yako kupitia app yetu
Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa
Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako
download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA AU HAPAAAA au HAPAA

Post a Comment