YANGA YAITAKA AZAM FC ZANZIBAR KATIKA VITA YA UBINGWA

YANGA inaendelea kupiga safari za mbali kwenye mechi zake za ugenini lakini ikajiongezea umbali zaidi ikiirudisha Azam FC, kwenye uwanja mmoja ambao matajiri hao wa Chamazi wameumia zaidi timu hizo zinapokutana. Mchezo ujao wa Yanga itakuwa ugenini Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha itakapokuwa mgeni wa Fountain  Gate inayofundishwa na Fred Felix Minziro aliyewahi […]

The post YANGA YAITAKA AZAM FC ZANZIBAR KATIKA VITA YA UBINGWA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/su63D7J
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post