SIMBA WAPELEKA UJUMBE MZITO YANGA NA AZAM KABLA YA FAINALI

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameonyesha kiwango kikubwa cha kujiamini kuelekea fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB, akisisitiza kuwa kikosi hicho kiko tayari kukabiliana na mpinzani yeyote atakayefanikiwa kutinga hatua hiyo. Simba tayari imejihakikishia nafasi ya kucheza fainali baada ya kuvuka hatua ya nusu fainali kwa mafanikio, huku sasa […]

The post SIMBA WAPELEKA UJUMBE MZITO YANGA NA AZAM KABLA YA FAINALI appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Y0B5mog
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post