BUDAPEST, HUNGURY: PARIS Saint-Germain imeendelea kuthibitisha kuwa ni moja ya timu bora zaidi kuwahi kutokea katika soka la Ulaya baada ya kuwa klabu ya pili pekee kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Ushindi wao wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal baada ya sare ya 1-1 katika fainali iliyochezwa Jijini Budapest umeongeza mafanikio yao […]
The post PSG, LUIS ENRIQUE NA REKODI ILIYOTUKUKA ULAYA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/tZpzvuy
via IFTTT
Post a Comment