LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inaendelea Mei 31, 2026 kwa mechi sita, lakini macho ya wengi yataelekezwa Uwanja wa KMC Complex na vinara Simba Queens watakuwa na kibarua dhidi ya Mashujaa Queens katika pambano linaloweza kuamua ubingwa. Simba inaongoza msimamo kwa pointi 53 baada ya kucheza mechi 19, ikifuatiwa na Yanga Princess yenye pointi 43, […]
The post WPL KUNA MOTO UNAWAKA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/pfRHTl2
via IFTTT
Post a Comment