ULE UTAMU WA CHAMPIONSHIP SASA UMEFIKIA PAZURI

UHONDO wa Ligi ya Championship umefikia hatua nzuri kwa sasa, ambapo leo Jumamosi itashuhudiwa mechi zote nane zikipigwa za raundi ya 27, huku ushindani ukiongezeka kwa timu zinazopigania kupanda Ligi Kuu na zinazopambana kutoshuka daraja. Vinara wa Ligi hiyo, Geita Gold yenye pointi 65, ikishinda mechi 20, sare tano na kupoteza moja, baada ya kutoka […]

The post ULE UTAMU WA CHAMPIONSHIP SASA UMEFIKIA PAZURI appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/VutPm2U
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post