NI AZIZ KI AU MASHINE HII YA KAZI KUTOKA UGANDA…MMOJA LAZIMA ATUE JANGWANI….

YANGA inajua msimu huu imekwamishwa na wachezaji wake wapya kushindwa kuonyesha ubora, sasa kuna hesabu kali zinapigwa juu ya kuboresha eneo la kiungo zikimuhusisha kiungo wao wa zamani Stephanie Aziz KI iwapo dili hilo likikwama tu kuna mashine inatua kutoka Uganda. Mabosi wa Yanga wanapiga hesabu za kumrudisha staa wao wa zamani Aziz KI ambaye […]

The post NI AZIZ KI AU MASHINE HII YA KAZI KUTOKA UGANDA…MMOJA LAZIMA ATUE JANGWANI…. appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/4avwsXA
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post