MONTERREY, MEXICO: BAO la dakika ya 63 la nyota wa Afrika Kusini, Thelapo Maseko dhidi ya Korea Kusini limetosha kuipeleka hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia ikiingana na wenyeji, Mexico, waliomaliza vinara wa kundi A. Mechi hiyo ya kundi A iliyopigwa kwenye Uwanja wa BBVA, uliopo mjini Guadalupe katika Jimbo la Nuevo Leon Kaskazini […]
The post MASEKO AIPELEKA AFRIKA KUSINI 32 BORA KOMBE LA DUNIA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/uBQR5A2
via IFTTT
Post a Comment