BAADA ya kukamilisha kampeni yake ya Ligi Kuu Tanzania Bara, uongozi wa Yanga umesema utaelekeza nguvu zake zote kuisapoti Azam FC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Simba, huku ukisisitiza kuwa hautaiacha timu hiyo ipambane peke yake. Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe, amesema mpango huo utaanza mara baada ya timu hiyo […]
The post YANGA YAKATAA KUSHINDWA, YAITANGAZIA PRESHA SIMBA FAINALI YA SHIRIKISHO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/eQHcvX6
via IFTTT
Post a Comment