MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescetius Magori, amesema klabu hiyo tayari imeanza maandalizi ya kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao baada ya kupokea ripoti kutoka kwa Kocha Mkuu, Steve Barker, iliyobainisha maeneo yanayohitaji maboresho katika dirisha kubwa la usajili. Magori amesema bodi imeanza kufanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na kocha huyo kwa kufuatilia […]
The post MAGORI AFUNGUKA MPANGO WA SIMBA, RIPOTI YA BARKER YAINGIA KAZINI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/AzcZrHT
via IFTTT
Post a Comment