LIVE: ITAZAME MECHI YA SIMBA VS YANGA LIVE HAPA ( U17 )


 Ligi Kuu ya soka la vijana U17 inaendele ambapo kesho Jumamosi, Juni 06 vijana wa Yanga wataumana na wenzao wa Simba mchezo utakaopigwa kituo cha ufundi cha TFF Kigamboni jijini Dar es salaam.

Vijana wa Yanga U17 wameanza vyema msimu wakishinda mechi nne kati ya tano walizocheza mpaka sasa wakishika nafasi ya 3 na alama 12.

Simba U17 wanaongoza ligi wakiwa na alama 16 baada ya kucheza mechi 6. Hakuna mechi nyepesi zinapokutana Yanga na Simba hivyo kitaumana Kigamboni kesho.

Bonyeza hapa kudownload App hii utazame sasa

Usikose kutazama mechi zote LIVE kupitia simu yako pia ukiwa na App hii utaweza kutazama mechi  zA Caf, mechi zote za ulaya, ligi kuu Tanzania bara, CRDB CUP na nyingine nyingi LIVE kupitia Simu yako 

 download App hii mapema itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi live bure pia ndani ya App yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure bonyeza HAPAAAA  AU HAPAAAA au HAPAA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post