MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Crescentius Magori, amefunguka kuhusu falsafa ya usajili ndani ya klabu hiyo, akisisitiza kuwa kigezo kikubwa wanachotumia ni uwezo wa mchezaji kuisaidia timu kwa muda mrefu na si kwa misingi ya ushindani na wapinzani wao. Akizungumza kuhusu suala la kusajili wachezaji kutoka Yanga, Magori amesema Simba haiendi sokoni […]
The post BOSI SIMBA AWEKA WAZI MSIMAMO WA KLABU KUHUSU NYOTA WA YANGA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/t8WlhPo
via IFTTT
Post a Comment