DAKIKA 90 ZA KIHISTORIA KWA GEITA GOLD KUREJEA LIGI KUU

ADA ya Geita Gold kudumu katika Ligi ya Championship kwa siku 740, ambazo ni sawa na miaka miwili na siku 10 au miezi 24 na siku 10, hatimaye kikosi hicho kinaweza kurejea Ligi Kuu kesho Jumapili, ikiwa kitashinda dhidi ya Songea United. Geita inayofundishwa na Kocha, Zubery Katwila ilishuka daraja msimu wa 2023-2024, ambapo ushindi […]

The post DAKIKA 90 ZA KIHISTORIA KWA GEITA GOLD KUREJEA LIGI KUU appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/pegwdhU
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post