KIPA wa Simba, Yakoub Suleiman, anakabiliwa na kipindi kigumu cha kuuguza jeraha baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti, hali inayotarajiwa kumuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu na huenda akakosa sehemu kubwa ya msimu ujao. Yakoub amekuwa akisumbuliwa na tatizo hilo tangu alipoumia akiwa na timu ya taifa ya Niger wakati wa Mashindano ya […]
The post MSIMU UJAO HATARINI KWA YAKOUB BAADA YA UPASUAJI WA GOTI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/B3XLkCY
via IFTTT
Post a Comment