KLABU ya Simba SC imesisitiza umuhimu wa kuhakikisha mechi zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC zinachezwa kwa haki na usawa, huku ikipeperusha bendera ya matumaini ya kutwaa ubingwa wa ligi pamoja na Kombe la CRDB msimu huu. Akizungumza kuhusu hatua ya mwisho ya msimu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Crescentius Magori, amesema klabu […]
The post KAULI YA MAGORI YAWASHA MOTO WA UBINGWA TUNANGOJA WATELEZE appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/lTtEMRy
via IFTTT
Post a Comment