STRAIKA WA MABAO 20 AWAVUTIA YANGA, DILI LAAZA KUPIKWA

UONGOZI wa Yanga chini ya Rais wake, Hersi Said, umeendelea kuweka mikakati ya kuimarisha kikosi kuelekea msimu ujao, huku ukiibuka mpango wa kumfuatilia mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya, Moses Shumah, anayekipiga katika klabu ya Power Dynamos ya Zambia. Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa Yanga imeanza kufanya tathmini ya kina ya uwezo wa […]

The post STRAIKA WA MABAO 20 AWAVUTIA YANGA, DILI LAAZA KUPIKWA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/itrenhW
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post