BEKI wa Yanga SC, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’, amesema kikosi hicho kina kila sababu ya kuwa na matumaini makubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kutokana na kiwango bora kinachoendelea kuonyeshwa katika hatua za mwisho za msimu. Kwa sasa Yanga inaongoza msimamo wa ligi ikiwa na pointi 60, huku watani wao […]
The post ZIMBWE JR AFICHUA SIRI YA YANGA KUTIKISA LIGI appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/GaMl0VJ
via IFTTT
Post a Comment