DODOMA JIJI IMEWASHIKIA HAPA VIGOGO

KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema anapokutana na klabu zenye viwango vya juu kama Simba na Yanga, benchi la ufundi linakuwa limefanya uchambuzi wa kina kujua ubora na udhaifu wa wapinzani wao. Amesema Simba na Yanga mara nyingi hazibadilishi sana vikosi vyao na mipango inakuwa ni kushambuliaji na kumiliki mpira, hivyo wapinzani kama wanakuwa […]

The post DODOMA JIJI IMEWASHIKIA HAPA VIGOGO appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Z8SqpXj
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post