HAWA YANGA KWA FADLU WAKO SIRIAZI KWELI..?

YANGA inaendelea na msako wa kutafuta kocha mpya na sasa kuna majina mengine mawili yanatajwa akiwemo kocha wa zamani wa Simba ambaye aliibadilisha timu hiyo kurudi kwenye ubora ilionao hivi sasa. Si unamkumbuka Fadlu Davids ambaye msimu uliopita alifanya kazi kubwa ya kuibadilisha Simba na kutisha hadi kucheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, basi […]

The post HAWA YANGA KWA FADLU WAKO SIRIAZI KWELI..? appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/3LHoFNC
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post