SIMBA YACHEZA MECHI 16 KWA SIKU 52, BARKER ATOBOA SIRI

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amefunguka sababu za kumtumia Elie Mpanzu katika safu ya ushambuliaji mbele ya mshambuliaji wa asili, Selemani Mwalimu, huku akieleza pia namna ratiba ngumu ya mechi ilivyoanza kuwaathiri wachezaji wa kikosi hicho. Barker amesema uamuzi wa kumchezesha Mpanzu kama mshambuliaji haukuwa wa kubahatisha, bali ulitokana na uwezo wa mchezaji […]

The post SIMBA YACHEZA MECHI 16 KWA SIKU 52, BARKER ATOBOA SIRI appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/Nhszx3n
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post