Kulikuwa na kipindi maishani mwangu ambapo nilihisi kama mzigo wa maisha umenizidi kabisa. Nilianza kukopa kidogo kidogo kwa ajili ya kuendesha maisha na biashara yangu ndogo. Mwanzoni nilidhani ni suluhisho la muda mfupi tu, lakini mambo yakaanza kwenda tofauti.
Mauzo yakapungua, gharama zikazidi, na nikajikuta nimeingia kwenye mzunguko wa madeni bila kujua jinsi ya kutoka.

Kila mwezi ulikuwa mgumu. Nilikuwa napokea simu za wadai, baadhi wakiongea kwa ukali, wengine wakinikumbusha tarehe za malipo.
Kila nilipojaribu kupanga mpango wa kulipa, kuna kitu kingine kilikuwa kinatokea kinachonifanya nirudi nyuma tena. Kwa kweli nilianza kukata tamaa. Kilichoniumiza zaidi ni kuona deni likiongezeka badala ya kupungua.
Nilianza kuogopa hata kupokea simu. Wakati mwingine nilijifungia kimya nikijiuliza kama nitawahi kutoka kwenye hali ile. Kulikuwa na usiku nilikosa usingizi kabisa.
Nilikuwa na mawazo mengi kuhusu biashara yangu, familia, na future yangu. Nilihisi kama kila kitu nilichojenga kilikuwa kinaanguka polepole mbele ya macho yangu.SOMA ZAIDI.

Post a Comment