Nilivyofanikiwa Kufungua Salon Yangu Baada ya Miaka ya Kufanya Kazi Kwa Watu na Kukosa Mtaji wa Kuanzia

Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kuwa na salon yangu mwenyewe. Nilianza kama mfanyakazi kwenye salon ya mtu mwingine. 

Nilijifunza kila kitu kwa bidii kusuka, kupamba, na kuhudumia wateja kwa uangalifu. Kila siku nilikuwa najifunza zaidi, huku moyoni nikiwa na ndoto ya siku moja kuwa bosi wa biashara yangu.

Lakini changamoto kubwa ilikuwa mtaji. Kila nilipojaribu kuweka akiba, kuna kitu kilitokea kinachonirudisha nyuma. 

Mara ni kodi, mara familia, mara gharama zisizotarajiwa. Kwa miaka mingi nilihisi kama ninazunguka sehemu moja bila kusonga mbele.

Wakati mwingine nilihisi kukata tamaa. Nilikuwa nikiona wateja niliowahudumia wakifungua biashara zao, huku mimi nikiendelea kufanya kazi kwa wengine. 

Hali hiyo ilinifanya niwe na mawazo mengi na wakati mwingine nilijiuliza kama nitawahi kufikia ndoto yangu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post